Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Salaam za Ukaribisho kutoka kwa Meneja Mkuu

Kwa niaba ya Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania (TGDC) ningependa kuwajulisha uwezo wa jotoardhi uliopo nchini Tanzania kama ulivyobainishwa kwenye tovuti hii. Jotoardhi ni maliasili inayopatikana kwa wingi Tanzania, kwa kukisia kinadhariaTanzania ina zaidi ya 5000MWe ya nishati ya jotoardhi inayosubiri kuendelezwa.

Tofauti na vyanzo vya nishati nyingine jadidifu, jotoardhi ina sifa za kipekee zinazoifanya ihitajike zai...

Habari & Matukio

Mar, 15 2017

Wananchi wa Wilaya za Rungwe na Mbeya Vijijini pamoja na wadau wengine wa mradi wa jotoardhi wa Ngozi wametoa maoni mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali ya msingi kabla ya zoezi la uchorongaji visima vya uchunguzi na baadae uvunaji mvuke wa kuzalisha umeme utakaotokana na n...

Jan, 8 2016

Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Jiolojia, Ubeljiji (GB2016)

Mkutano wa Kimataifa wa Jiolojia wa Ubeljiji , 2016 umeandaliwa chini ya kaulimbiu “Mama Ardhi”. Mada mbalimbali za fani mbalimbali za Sayansi ya Udongo zitajadiliwa wakati wa mkutano, ikiwa ni pamoja na elimu ya hali ya hewa ya zamani (paleoclimatology), nishatiardhi (geoenergy)...

Huduma Zetu