Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Dira na Dhamira

Dira: Kuwa Kampuni ya Kuendeleza Jotoardhi inayoongoza na yenye ushindani katika ukanda huu wa Afrika, kuhudumia kizazi cha sasa na cha baadaye kwa nishati ya uhakika, gharama nafuu na isiyo athiri mazingira.

Dhamira: Kutoa huduma za kuendeleza nishati ya Jotoardhi za uhakika na ufanisi kusaidia dira ya maendeleo ya Taifa

Lengo kuu: Kuzalisha megawati 200 (MWe) ifikapo mwaka 2020, megawati 500 (MWe) ifikapo mwaka 2025