Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TGDC Prof. Shubi Kaijage akitoa maelezo baada ya kutembelea na kujionea jinsi kazi kubwa inavyoendelea katika mradi wa kipaumbele wa jotoardhi Ngozi uliop

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TGDC Prof. Shubi Kaijage akitoa maelezo baada ya kutembelea na kujionea jinsi kazi kubwa inavyoendelea katika mradi wa kipaumbele wa jotoardhi Ngozi uliopo mkoani Mbeya. Kwa kupata nondo nyingi zaidi tumsikilize Mwenyekiti akielezea kwa kirefu zaidi.

Posted on:   Sep 04, 2023

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania Wakili Msomi Lucy Sondo akizungumza wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa kipaumbele wa Jotoardhi Ngozi uliopo Mkoani, Mbeya. #TGDC Tunastahili Nishati Safi.

Posted on:   Sep 04, 2023

Ngozi Geothermal Project: A Dream to Come True

To most of us, the Ngozi Geothermal Project, was a dream. The project realization dream after a hardworking sweat journey to chase its realization, we are now very and now closer to see its possibilty. In a sentence we can jovially say, we are almost ready from realizing such an amazing dream...

Posted on:   Aug 29, 2023