Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Habari

Geothermal Technical Review Meeting: Three Tanzania Geothermal Projects (Imewekwa:04 December,2018)

The technical review meeting (TRM) was held in Dar es Salaam at Hyatt Regency - The Kilimanjaro Hotel from 7th to 8th November, 2018. Soma zaidi


UTIAJI SAINI MKATABA KATI YA TGDC NA KAMPUNI YA ELC ELECTROCONSULT S.P.A (MSHAURI MWELEKEZI) (Imewekwa:08 October,2018)

Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) inapenda kuutaarifu umma kuwa imekamilisha taratibu za kimanunuzi kumpata mshauri mwelekezi, ambayo ni Kampuni ya ELC Electroconsult S.P.A kutoka nchini Italia. Soma zaidi


NOTIFICATION OF OFFICE RELOCATION (Imewekwa:31 July,2018)

We are pleased to inform you that we have moved to a new office since 26th July, 2018. Our current office is located at Ursino, House No. 25, Plot No. 52, along Mwai Kibaki Road, Dar es Salaam Soma zaidi


TGDC na mkakati wa kuendeleza tafiti za jotoardhi Shinyanga (Imewekwa:27 April,2018)

Mwenyekiti wa Bodi ya TGDC, Beatus Segeja ametembelea eneo la Ibadakuli lililoko Manispaa ya Shinyanga ili kufahamu matokeo ya tafiti za awali za nishati ya jotoardhi na mpango wa TGDC wa kufanya tafiti za kina katika eneo hilo. Soma zaidi


Kampuni ya TGDC yafanya Semina kwa Wabunge wa Kamati ya Nishati na Madini jijini Dodoma. (Imewekwa:21 June,2017)

Imeelezwa kuwa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) itazalisha Megawati 200-600 kutokana na Jotoardhi ifikapo 2025. Soma zaidi