News

Posted date: 10-Feb-2023

Timu ya wataalamu wa TGDC ikipata mafunzo na kubadilishana uzoefu juu ya uendeshaji wa miradi ya jotoardhi nchini Kenya kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA.

News Images

Timu ya wafanyakazi ya Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania(TGDC) ikiwa na baadhi ya wafanyakazi kutoka Wizara ya Nishati na wadau wetu wa maendeleo JICA Tanzania wakiwa Nchini Kenya, Naivasha.

Ziara hii ni ya mafunzo ya uendelezaji wa rasilimali hii ambayo ni rafiki wa mazingira ambayo imeandaliwa na kufadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Japani(JICA)

Timu hiyo ipo nchini Kenya kwa ziara ya mafunzo na uelewa kuhusu jotoardhi kwa siku tano.