Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Umuhimu wa Jotoardhi katika Mchanganyiko wa Nishati Tanzania

  • Asilia, gharama nafuu na ya uhakika
  • Inauhakika mkubwa wa kupatikana (>98%)
  • Uzalishaji umeme usio na mgao
  • Hupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa natabia ya nchi
  • kuepuka mfumo wa nguzo za usambazaji umeme
  • Hutoa nishati safi na salama kwa kutumia ardhi kidogo
  • Teknolojia iliyothibitishwa na inazidi kuimarika
  • Inakubali mabadiliko katika upanuzi ili kukidhi mahitaji ya wakati
  • Huzalisha umeme na matumizi ya joto moja kwa moja
  • Hupunguza moshi wa hewa zinazochafua mazingira