News

Posted On: Jul, 17 2020

Wakili Mkuu wa Serikali alipomtembelea Mwanasheria Mkuu wa Serikali

News Images

Mara baada ya kuapishwa na Rais John Magufuli kuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Bw. Gabriel Malata akiambatana na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende walimtembelea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa madhumuni ya kijitambulisha